Baba Yetu
Christopher Tin
Album:
Baba Yetu - Single
Most played on:
Genres:
Moods:
Languages:
Featured by:
CharliemadmanWiki:
The haunting and highly-acclaimed opening theme to the 2004 computer game Civilization IV, the lyrics to Baba Yetu are in fact a modified version of the Lord's Prayer ("Our Father, who art in Heaven...") sung in Swahili. This was likely a nod to the series-first introduction of Religion as a playable element in the game.
Lyrics:
[Chorus] Baba yetu, yetu uliye Mbinguni yetu, yetu, amina Baba yetu, yetu, uliye Jina lako litukuzwe Baba yetu, yetu uliye Mbinguni yetu, yetu, amina Baba yetu, yetu, uliye Jina lako litukuzwe [Verse] Utupe leo chakula chetu Tunachohitaji utusamehe Makosa yetu, hey Kama nasi tunavyowasamehe Waliotukosea usitutie Katika majaribu, lakini Utuokoe, na yule Mwovu, milele! [Chorus] Baba yetu, yetu uliye Mbinguni yetu, yetu, amina Baba yetu, yetu, uliye Jina lako litukuzwe Baba yetu, yetu uliye Mbinguni yetu, yetu, amina Baba yetu, yetu, uliye Jina lako litukuzwe [Bridge] Ufalme wako ufike utakalo Lifanyike duniani kama mbinguni (Amina) [Chorus] Baba yetu, yetu uliye Mbinguni yetu, yetu, amina Baba yetu, yetu, uliye Jina lako litukuzwe Baba yetu, yetu uliye Mbinguni yetu, yetu, amina Baba yetu, yetu, uliye Jina lako litukuzwe [Verse] Utupe leo chakula chetu Tunachohitaji utusamehe Makosa yetu, hey Kama nasi tunavyowasamehe Waliotukosea usitutie Katika majaribu, lakini Utuokoe, na yule Mwovu, milele! [Outro] Baba yetu, yetu, uliye Jina lako litukuzwe Baba yetu, yetu, uliye Jina lako litukuzwe