King Kong

Kura

Score: 2
/
Played: 47

Album:

King Kong

Genres:

House
Electronica
Techno
Portuguese
Portugal

Moods:

Languages:

Featured by:

gp

Wiki:

Lyrics:

Earn upon approval! {{lyricsContributionDisabled ? '(While you\'re under '+USER_CONTRIBUTION_GAINS_LIMIT.WIKI_LYRICS+' Beats)' : ''}}

Naskia kuna beef; Wana battle dizasta na rapcha; Bongo kuna beef inatrend hivi sasa; Kuna beef ya mawenge na motra; Kitambo kulikuwa na beef rado na fid; Kuna beef kikosi kazi na weusi; Kuna beef kama big na pac; Moni na country; Young killer na young d; Kalapina na chid;kingkong Kuna beef ya kiba na modi; Rayvan na kode jeshi kuna beef; Kama nako na kikosi cha mizinga; Kuna beef ya kijinga binno na lunya wakuvimba; wote wanaogopa nikitimba; Nakweli usitake beef na mangwair yupo juu; Utaskia nikki mbishi anabeef na wakazi; Kila kona kuna beef ccm na chadema; Beef ya yanga na simba kuna beef tff na manara; Ni kweli wanabeef majani na kajala?;masihara Beef kama ile antivirus na ruge; Jide na ruge; “goddamn” r.i.p; Beef Ya Wanahip hop na madee;